Thursday, August 11, 2011

uzinduzi wa Vodacom House Miss Tanzania 2011 usiku wa jana



Washiriki 30 wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa mjengoni mwao.
Ofisa Mkuu wa Masoko na mahusiano wa kampuni ya Vodacom,Mwamvita Makamba akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Vodacom House Miss Tanzania 2011 usiku huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency inayoratibu shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundega pamoja Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza wakishuhudia tukio hilo.
Vigele gele na shwangwe zilizuka mara baada ya uzinduzi wa nyumba hiyo ambayo watakuwa wakikaa Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 na kufanya shughuli mbalimbali ndani ya jumba hilo ambalo limesheheni kila kitu.
Mandhari ya jengo hilo la Vodacom House Miss Tanzania likionekana kwa nje.
Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog



No comments: