Tuesday, August 2, 2011

WAZIRI MAGUFULI AISAFISHA CCM BUNGENI ,SPIKA MAKINDA AKATAA MIONGOZO

Spika wa bunge Anne Makinda akimsikiliza waziri ujenzi Dkt John Magufulu huku akipinga miongozo kutoka kwa wabunge kwa madai kuwa leo haruhusu miongozo ya spika wakati wa waziri Magufuli akiwasilisha bajeti ya wizara yake
Waziri wa miundo mbinu Dkt John Pombe Magufuli ambaye anawasilisha bajeti ya wizara yake huku akitumia muda mwingi kukiosha chama cha mapinduzi (CCM) na kulifanya bunge kulipuka kwa vicheko mara kwa mara

No comments: