Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Profesa Tolly Mbwete kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 22,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Shughuli za Bunge wa zamani,ambaye sasa ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Japhet Sagasii, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 22,2011.
No comments:
Post a Comment