Thursday, September 29, 2011

AJALI : CHIMBUYA - TUNDUMA MKOANI MBEYA.

Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari za usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa mbili unusu usiku jana.
Watu wakiangalia gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.

Mmoja kati ya majeruhi wa ajali iliyohusisha gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimolo(kulia),akimjulia hali mmoja wa majeruhi wa ajali iliyohusisha gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.Katikati ni mganga mkuu wa Wilaya ya Mbozi Dk. Charles Mkombachepa.
Mmoja kati ya majeruhi wa ajali iliyohusisha gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.
Mganga mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Dk. Charles Mkombachepa(wa pili kushoto),akimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimolo(kulia),sehemu za majeraha aliyopata mmoja wa majeruhi wa ajali iliyohusisha gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Dk. Charles Mkombachepa (kushoto), akitoa taarifa ya maafa na majeruhi wa ajali iliyohusisha gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.

No comments: