Magufuli akimnadi mgombea wa CCM Dk. Dalaly kushoto katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika mapokezi helkopta ya kampeni za CCM.
Magufuli akitete jambo na mgombe ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu (kulia) kabla ya kuhutubia wakati waliofika katika mapokezi ya helkopta ya kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga leo. Kushoto ni Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Ujenzi John Magufuli akisalimia mamia ya wananchi waliofika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga kupokea ndege ya kampeni za CCM.Wengine ni Nchemba na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma
Januari Makamba akisalimia mamia ya wananchi waliofika katika mapokezi ya helkopta ya kampeni za CCM ilipowasili leo asubuhi kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini.
ratibu wa Kampeni za CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akimlaki Januari Makamba baada ya helkopta aliyokuja nayo kutua kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga. Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda.
Mamia ya watu katika uwanja wa sabasaba mjini Igunga katika mapokezi ya helkopta ya CCM.Picha Zote na Mdau Bashir Nkromo-igunga
No comments:
Post a Comment