Tuesday, September 13, 2011

Kanisa la Anglican Zanzibar Yakabidhi Msaada Kwa Wahanga Wa Ajali Ya Meli Zanzibar Kwa Makamu Wa Pili Wa Rais


KASISI Kiongozi wa Kanisa la Anglican Zanzibar Father Micheal Hafidh akimkabidhi msaada wao kwa Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi ikiwa ni mchango wao kwa Wananchi waliofikwa na ajali hiyo.
Kasisi Kiongozi wa Kanisa la Anglican Zanzibar Father Michael Hafidh akitowa salamu za rambirambi kutoka kwa waumini wa Kanisa lake kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kukabidhi msaada wa Fedha shilingi laki sita kwa ajili ya Watu waliopata ajali ya Meli iliotokea 10-9-2011 bahari ya Nungwi.


No comments: