Saturday, September 10, 2011

MKAPA AKUTANA NA WAZEE IGUNGA ,kuzindua kampeni leo

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akizungumza wakati wa mkutano wa viongozi wa ngazi mbalimbali katika kata za jimbi la Igunga, leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma na katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora. Jana pia pia Katibu Mkuu wa CCM, Mukama na Msekwa wamewasili Igunga na watakuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM katika viwanja vya kumbukumbu ya Sokoine leo jioni.
Wazee mbalimbali wakimsikiliza mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wakati alipokuwa akiongea nao mjini Igunga jana.

No comments: