Saturday, September 10, 2011

Mr II na Wafuasi igunga

Mbunge wa Mbeya Mjini-Chadema Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka Mr II(Sugu)akiwa amezungukiwa na mashabiki wa chama hicho igunga muda mfupi baada ya Chadema kuzindua Kampeni zake za Uchaguzi Mdogo.Picha na Mdau



No comments: