Friday, September 2, 2011

Rais Wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na idara Maalum Ya Vikosi Vya SMZ



Baadhi ya Viongozi wakuu wa vikosi
vya SMZ,wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini
Zanzibar,walipokuwa na mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Idara maalum
ya Vikosi vya SMZ, iliyochini ya Wizra ya nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi IKulu Mjini zanzibar. 

Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar


No comments: