Tuesday, September 6, 2011

TIGO YAKAMILISHA YAKAMILISHA PROMOSHENI YA ENDESHA PIKIPIKI











Mtalaamu wa Viwango wa Tigo, Pamela Shellukindo (wa pili kulia) akichezesha Bahati Nasibu ya mwisho ya promosheni ya "Endesha Pikipiki" inayoendeshwa na Tigo. Promosheni hiyo imefikia kilele chake jana ambapo Hussen Ramadhani mkazi jijini Dar es Salaam aliibuka mshindi wa pikipiki ya mataili matatu aina ya TOYO. Wengine ni Catherine Kasimbazi (kulia) Tanzania Solid Ltd, Humund Abdulhuhussein (kushoto) kutoka Shirika la Michezo ya Kubahatisha Tanzania. Hii imefanyika 5 Septemba 2011.













No comments: