Sunday, September 4, 2011

wakulima wa songea wauza mahindi wa wakala wa hifadhi ya taifa ya chakula

baadhi ya akina mama wa manispaa ya songea wakichekecha mahindi ili kuondoa mchanga kwa ajili ya kupata mahindi safi yanayouzwa kwa wakala wa hifadhi ya taifa ya chakula kituo cha Songea kwa tsh 350 kwa kilo moja ambao wamelazimkia kuhamia katika uwanja wa michezo wa zimanimoto mjini hapa ili kurahisisha kazi ya ukusanyaji.
wanawake wanaojishughulisha na biashara ya mama lishe wakiwa na vyombo vyao katika uwanja wa zimanimoto ambako kazi ya ununuzi wa mahindi inafanyika kutokana na wakala wa hifadhi ya chakula ya taifa kituo cha songea kulazimika kuhamishia uwanjani hapo ili kurahisisha kazi hiyo.
Malori yenye mahindi yakiwa katika msururu mrefu yakisubiri kuingia ndani ya uwanja wa zimamoto kwa ajili ya kuuza kwa wakala wa hifadhi ya taifa yachakula mjini Songea kama yalivyokutwa na mpiga picha wetu jana. Picha na Muhidin Amri
kwa hisani ya michuzi Blog

No comments: