Wednesday, October 26, 2011

Breaking News: Ajali Nyingine Yatokea Mbeya





Maiti ikinasuliwa kutoka kwenye moja ya magari yaliyopata ajali katikaeneo la pipeline mkoani Mbeya, ajali hiyo imetokea hivi punde. Tutawaletea taarifa juu ya chanzo na mengineyo kadiri taarifa zitakavyokua zinatufikia.
Habari kwa hisani ya Mjegwa blog

No comments: