Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Badi Sachedina wakati wa mazoezi ya mwisho ya
Miyayusho kabla ya kumvaa Mbwana Matumla katika mpambano wao wa ubingwa mwishoni mwa mwezi huu
Bondia Fransic Miyayusho (kulia ) akiongoza mazoezi katika kambi yake ya lazima ukae iliyopo Kinondoni Dar es salaam jana Miyayusho anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa na Mbwana Matumla litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu.
No comments:
Post a Comment