Monday, October 3, 2011

Kaseba Awa Bingwa Wa Ngumi Za Kulipwa Nchini

Bonda Japhet Kaseba akiwa na washabiki wake baada ya kutangazwa mshindi katika pambano la kuwania ubingwa wa ngumi za kulipwa nchini dhidi ya Maneno Oswald

Mabondia Japhet Kaseba(kushoto) akipambana na Maneno Oswald wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa PST uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa pointi..
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: