Thursday, October 13, 2011

Mbunge wa Mvomero Amos Makalla atembelea eneo la mgogoro wa ardhi Kinyenze

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kushoto) akiwa na Hamis Maguo , alipotembelea hivi karibuni Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera , kufuatilia mgogoro kati ya wananchi wa Kijiji hicho na mwekezaji
Juu na chini ni Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uzio
uliowekwa na mwekezaji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha
Kipera, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro na kuziba njia inayokwenda
katika mtaa wa Mwanga na katika mashamba. Pia mwekezaji huyo raia wa
kigeni amechukua sehemu ya mashamba ya wananchi hao bila ya taarifa
yeyote kwa Halamashauri ya Kijiji na wananchi.
Picha na Mrokim Blog

No comments: