Tuesday, October 25, 2011

MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE SONGWE MBEYA

Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya kiwanja hicho
Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya Ezekia Mwalutende akisoma taarifa ya ya ujenzi wa kiwanja cha ndege songwe Mbeya
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi uwanja huo kwa muda uliopngwa
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akimsikiliza Mhandisi wa kampuni ya kundan singh
Mkuu wa mkoa Mbeya Basi Kandoro akikagua uwanja wa ndege songwe
Hili ni jengo la abiria likikamilika linauwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa

Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja

No comments: