Monday, October 3, 2011

Mpya kabisa: Igunga Bado Ni Utata

kulingana na chanzo chetu cha habari, hali bado ni tete huko Igunga. Mabomu yamachozi yametumika katika baadhi ya maeneo na polisi wa kutuliza ghasia wamekuwa katika hali ya tahadhari. Tutazidi wafahamisha juu ya matukio zaidi kadiri yatakavyo kuwa yanatufikia.
Picha kwa hisani ya Mjegwa blog 

No comments: