Kijana aliyetuhumiwa kuiba simu ya mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja,akipanda gari la polisi baada ya kumuokoa kutokana na kipigo alichokuwa akipata kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mijini Songea jana,
Askari wa doria kutoka kituo kikuu cha polisi mjini songea wakimuokoa kijana aliyetuhumiwa kuiba simu ya mama mmoja ambaye hakufahamika,asiendelee kupata kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mjini songea jana,
Kijana aliyeshukiwa kuwa ni kibaka akiwa amelala chini kwa lengo la kuomba msaada baada ya kupata kipigo kikali kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kijana huyo kutuhumiwa kuiba simu ya mkononi ya mmoja wa wapita njia karibu na kituo cha daladala cha soko kuu mjini songea jana.

Msamaria mwema kulia ambaye hakutaka kutaja jina lake,akimuokoa kijana aliyekuwa akipata kipigo kutoka kwa watu wenye hasira kali,kufuatia kijana huyo kumuibia abiria simu ya mkononi katika kituo cha Daladala cha soko kuu mjini songea jana.
Habari kwa Hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment