Thursday, October 13, 2011

Picha Za Wiki Ya Maadhimish​o Ya UWT Na Miaka 50 Ya Uhuru - Mara

vijana wa chipukizi wakiwa na bango lenye ujumbe wa maadhimisho wakati wa mapokezi Musoma airport


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha butiama wakiwa katia sherehe ya utoaji wa TUZO nyumbani kwa Mama Marie Nyerere


Mmama Maria (kushoto) mama Kikwete (kati) na Mama Fatma Karume wakifuatilia sherehe ya utoaji TUZO kijijini Butiama


Utoaji wa TUZO kwa Mama Maria Nyerere kutoka kwa UWT


baadhi ya watoto wagojwa walolazwa katika kituo cha afya Butiama wakiwa wodini na wazazi wao
Na Mwanakombo Jumaa

No comments: