Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiukagua mkungu wa ndizi uliozalishwa katika shamba la mkulima kutoka wilaya ya Kasulu,mkoani Kigoma wakati wa maonyesho yaliyofanyika sambamba na kongamano la uwekezaji katika ukanda wa Ziwa Tanganyika lililofanyika mjini Mpanda, juzi
(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment