Wednesday, October 19, 2011

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan Atembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)na Bandari

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akimuliza Jambo Ofisa wa Huduma za Forodha Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw Abduliah Ali alipotembelea Kitengo cha Kima cha Huduma za Forodha Kulia Meneja Huduma Bw Victor Msuya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipewa Maelezo na Meneja Port Operostons Bw John Micah kwenye Hala la Kuekea Mizigo inayokwenda Zanzibar Bandari Mjini Dar es Salaam Wakati wa Ziara ya kutembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania[TRA]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo ya Kuskani Makontena kwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania {TRA}Bw Harry Kitillya wakati wa Ziara ya Waziri Bandarini Kulia Mkurugenzi wa Idara ya Muungano Baraka Baraka na Mukurugenzi Mipango Ofisi ya Makamu waRais Bi Joan Mbuya.Picha na Ali Meja



No comments: