Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati) akizungumza na maofisa wa kiwanda cha bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Mbeya,alipotembelea kiwanda hicho juzi.

Meneja wa kiwanda cha bia cha Kampuni ya Tanzania Brewaries LTD (TBL),Mbeya, Calvin Martin (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu alipotembelea kiwanda hicho juzi.Katikati ni Ofisa Tawala Wilaya ya Mbeya, Geofrey Anania.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati mbele) akiongozana na maofisa wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Mbeya,maofisa wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na waandishi wa habari, kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho, jijini Mbeya juzi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati mbele) akiendelea kupata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha TBL Mbeya, Calvin Martin jinsi uzalishaji bia unavyofanyika alipotembelea juzi kiwanda hicho kilichopo Iyunga, jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment