Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, Queen Mlozi baada ya kuwasili jana kwenye Kivuko cha Nansio Ukwewe kwa ajili ya ziara ya siku moja wikayani humo.
Mkuu wa wilaya ya Ukerewe, Queen Mlozi (kulia) akimpa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape alipofika kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, juzi. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa MwanzaClement Mabina.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Getrude Mongela mjini Nansio, Ukerewe mkoani Mwanza.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Getrude Mongela mjini Nansio, Ukerewe mkoani Mwanza.
Nape akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha sanaa cha Ukombozi wakati wa mkutano huo.
Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Getrude Mongela, Nansio, Ukererwe mkoani
Nape na Katibu wa Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba wakishiriki kucheza ngoma na kundi la Utandawazi.
Picha zote na Bashir Nkoromo.
No comments:
Post a Comment