Wednesday, November 30, 2011

BALOZI SEIF IDD AZINDUZ PROGRAMU YA UONGEZAJI HUDUMA ZA THAMANI ZA KIFEDHA



Makamu
wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akisalimiana na baadhi ya
viongozi waliohudhuria katika uzinduzi wa Programu ya Miundo mbinu ya
Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini katika hafla
iliyofanyika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar


Makamu
wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akizindua Programu ya
Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini
katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar

Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika Uzinduzi wa Programu ya Miundo
mbinu ya Makomo, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini
wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd
hayupo pichani katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Salama Hoteli ya
Bwawani Mjini Zanzibar.

No comments: