Mdau akiwa anaonesha Risasi Muda huu iliyo dondoka wakati wa vurugu hizo
Wananchi wenye Hasira kali wakiwa wametanda na kufunga bara bara muda huu huu kuelelekea uyole
Wananchi wamesha Funga Njia sasa Hakuna pa Kupita
===========
Sakata La wananchi Mkoani Mbeya sasa limefika mahali pengine ambapo wananchi wamechachamaa hakuna anaetaka kutulia sasa baadhi ya wanachi wamekamatwa kutokana na vurugu hizo zilizo anza Satatu asubuhi. mpaka Muda huu maeneo mengine yamefunguliwa bara bara na mengine barabara zimefungwa kama inavyo onekana katika picha hapo juu.
Hata hiyo hivi punde jiji wametangaza kuwa wananchi watulie na wakutane viwanja vya kabwe kulimaliza tatizo wananchi wamekusanyika lakini polisi wamedai hakuna kukusanyika hiyo wamewatawanya tena na mabomu. tutaendelea kuleta tukio
No comments:
Post a Comment