Thursday, November 10, 2011

Mbowe Aomba Maandano Yaahirishwe

Mwenyekiti wa BAVICHA Ndg.John Heche akizungumza na wanahabari juu ya maandamano na sababu za kusitisha maandamano hayo.
Mwita mwikabe ambaya ni mkurugenzi wa taifa wa sera na utafiti wa Chadema akifafanua kwa waandishi wa habari sababu za kuahirisha maandamano ya leo
Wafuasi wa Chadema wakitawanyika kwa amani baada ya kuombwa na mwenyekiti taifa Mh Mbowe kuwa waahirishe ili akamilishe mazungumzo na wakuu wa polisi.
Askari Polisi leo kimara
Mmoja wa askari polisi akiwa kazini leo wakati Chadema walipoahirisha maandamano yao Kimara Dar es salaam leo

Maandamano makubwa yaliyoitishwa na Chadema leo yameahirishwa kwa kile kilichoelezwa kuwa ombi la mwenyekiti wa chama hicho taifa aliyewataka wanachama na wapenzi wa chama chake waliokuwa tayari kwenye sehemu ya kuanzia maandano kimara kuahirisha ili amalizie mazungumzo na maafisa wa polisi waliomuomba asitishe maandamano hayo ili kutoa fursa ya maongezi, jambo ambalo amelifanya.
Imetumwa na Mdau wa Mjengwablog aliyeko Dar es salaam
picha kwa hisani ya Mjegwa Blog

No comments: