a
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecelakwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 9, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum(CHADEMA),Esther Matiko (kushoto) na Leticia Nyerere kweye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 9,2011.
Waaziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na Viongozi wa Kampuni ya Globeleq-Songas kabla ya kuzungumza nao, ofisini kwake Mjini Dodoma Novemba 8, 2011. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji, Christopher Ford, Paul Kunert, Mikael Karlsson na (kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 1Plus Communication, Fina Mango.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment