Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akizungumza na waandishi wa habari juu ya miradi mbalimbali ya kijamii alipotembelea vijijini wakati huo huo Jijini Mbeya vurugu ikiibuka kati ya Machinga na Jeshi la Polisi.
Hawa ni baadhi ya wananchi ambao Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Kandoro alikutana nao alipokuwa katika ziara yake huko vijijini.
Mwananchi akipata huduma ya maji yanayopita katika mto ambayo hata hivyo usalama wake katika matumizi yake ni mdogo. (Picha chini mtoto katika kijiji cha Isansa akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Kandoro wakati wa uzinduzi wa kituo cha Afya kijijini hapo.
No comments:
Post a Comment