Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwakilishi wa WFP nchini, Bw. Richard Regan , kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi wa WFP nchini, Bw. Richard Regan , Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment