Mvua kubwa ikiendelea kunyesha Huku baadhi ya magari yanaendelea kukwama na mengine yanahaha yasijue yapite wapi
Baadhi ya Magari yakitafuta njia ya kupita huku mengine yakiwa yamezidiwa na Maji
Hapa inaonesha Baadhi ya Magari Makubwa yakiwa yanaweza kupita huku kwa Mbali Bajaji imekwama
Kuna mvua Dar maeneo ya Tazara ukiwa unatokea buguruni baada ya reli makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere road karibu na kiwanda cha bakhresa
No comments:
Post a Comment