Friday, December 2, 2011

JK AKUTANA NA VIONGOZI WA CUF IKULU LEO



Rais Jakaya Kikwete leo amekutana na ujumbe a uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam na kuzungumza nao juu ya sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makama Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis Ally  mwenye suti ya bluu iliyopea.

Picha na ikulu

No comments: