Monday, December 5, 2011

Lowassa na malecela watembelea maonesho ya Wizara katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtafiti Bw. Martin Masalu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) alipotembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu wikiendi ilopita Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya Kitaifa ya Miaka 50 ya Uhuru yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. J.K Nyerere vilivyopo Kilwa Dar es Salaam .
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. John Malecela akinunua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipotembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika maadhimisho ya Kitaifa ya MIaka 50 ya Uhuru yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. J.K Nyerere vilivyopo Kilwa Dar es Salaam. Kushoto ni Mpigachapa Bibi. Joyce Benjamin wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali.
Picha Kwa Hisani ya Michuzi Blog

No comments: