Saturday, December 10, 2011

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KENYA MH. KALONZO MUSYOKA LEO IKULU.

.:

Pichani Juu na Chini:Rais Jakaya Kikwete akiulaki ujumbe wa Kenya.Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh. Kalonzo Musyoka alipomtembelea leo Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam.


Pichani Juu na Chini: Rais Jakaya Kikwete katika maongezi na ujumbe wa kenya unaoongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh. Kalonzo Musyoka.Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa kwa Mfalme Peter Nabongo Mumia wa ukoo wa Wanga wa Magharibi mwa Kenya wakati Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka alipomtembelea leo Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na IKULU)

No comments: