Wasamaria wakimsaidia mwathirika wa mafuriko baada ya kumuokoa akiwa amejishikilia kwenye mti ili asizame kwenye maji ya Mto Msimbazi
Wasamaria
wakimsaidia mwathirika wa mafuriko baada ya kumuokoa akiwa amejishikilia
kwenye mti ili asizame kwenye maji ya Mto Msimbazi kutokana na mvua
kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
(Picha na Fadhili Akida).
No comments:
Post a Comment