Monday, January 9, 2012

Askari Polisi aliyeuwawa na majambazi azikwa mwanza

Baadhi ya Polisi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu Kijanda wakielekea kuzika huko Kahangara Magu, Mkoani Mwanza. Mwandu aliuawa kwa kupigwa risasi shingoni na jambazi wakati akiwa katika harakati za kumkamata
Polisi wakiweka chini jeneza la marehemu kabla ya mazishii
Robert Manumba (DCI) akitoa salamau za jeshi la polisi baada ya mazishi ya PC Kijanda aliuawa na jambazi kwa risasi
Jeneza lenye mwili wa marehemu Kijanda
Askari wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Kijanda
Askari wa Jeshi la Polisi wakitoa heshima wakati wa mazishi ya askari mwenzao marehemu PC Kijanda Mwandu, katika makaburi ya kifamilia eneo la Kahangara, wilayani Magu, Mwanza juzi, Mwandu aliuawa kwa kupigwa risasi shingoni na jambazi wakati akiwa katika harakati za kumkamata
Maaskari wakiushusha mwili wa maremhu PC Kijanda kaburini ,mazishi yaliyofanyika Kahangara Magu
Baadhi ya ndugu, jamaa wa marehemu wakiweka mashada juu ya kaburi la PC kijanda
Askari wa Jeshi la Polisi wakitoa heshima wakati wa mazishi ya askari mwenzao marehemu PC Kijanda Mwandu muda mfupi baada ya kuzikwa katika makaburi ya kifamilia eneo la Kahangara, wilayani Magu, Mwanza.
Picha na Mdau Mashaka Baltazar

No comments: