Thursday, January 19, 2012

Rais Jakaya Kikwete Aifariji Familia Ya Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa Tiketi ya CCM na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Jeremia Sumari

Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo
Rais Jakaya Kikwete Akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa wa zamani aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar es salaam jioni hii
Rais Jakaya Kikwete akitoa pole kwa wafiwa
Rais Jakaya Kikwete akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne Makinda na Mbunge wa Loliondo Mh Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumar.
Picha na IKULU

1 comment:

MissQueen said...

RIP Mh.