Monday, January 30, 2012

Rais wa zanzibar Dk. Shein akutana na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.(Picha na Ramadhan Othman Ikulu).


No comments: