Saturday, February 18, 2012

Dkt. Bilal Ziarani Katavi Leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Katavi Mkoa wa katavi kwa ajili ya kuanza ziara yake
ya siku tatu ya mkoa huo leo Februari 18, 2012. Kushoto ni Mkewe Mama Asha Bilal, na
(kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Eng. Stella Manyanya. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe
Mama Asha Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya Mkoa wa Rukwa, wakati walipowasili kwenye
Uwanja wa Ndege wa Katavi mkoani humo leo Februari 18, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku
tatu.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: