Saturday, February 18, 2012

JK afungua mkutano wa Mawaziri wa Kilimo, Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi saba za Afrika leo February 17, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mawaziri wa kilimo wa nchi saba za Afrika baada ya kufungua mkutano leo February 17, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es salaam. Nyuma ya Rais Kikwete ni kamishna wa Maendeleo vijijni na Kilimo wa Umoja wa Afrika Bi Rhoda Tumussime.
(PICHA NA IKULU)

No comments: