Thursday, February 2, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI SHAMBA LA KUKU KIJIJI CHA MKIU MKURAGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi katika Kituo cha Mradi wa shamba la Kuku lililopo Kijiji cha Mkiu, Wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani, linalomilikiwa na Mtanzania mzawa, Abdulwahd Mohamed (kulia), wakatia akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua mabanda ya kufugia kuku katika kituo hicho cha Shamba la Kuku kilichopo Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua mabanda ya kufugia kuku katika kituo hicho cha Shamba la Kuku kilichopo Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani, leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu nje ya Kituo cha Shamba la Kuku cha Kijiji cha Mkiu, baada ya kuweka jiwe la msingi na kukagua kituo hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo.
Makamu wa Rais, mkewe Mama zakhia Bilal, Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, Mbunge wa Mkuranga, Adam Malima, wakipiga picha ya kumbukumbu, nje ya eneo la mradi wa ujenzi wa kituo cha mnada wa Ng'ombe, baada ya kuweka jiwe la msingi katika kituo hicho kilichopo, kijiji cha mkiu Wilaya ya Mkuranga leo.

No comments: