Monday, February 6, 2012

mWanamilambo band yadhaminiwa na ubalozi wa marekani katika kazi zake.

Kiongozi wa Kundi la Mwanamilambo Bendi, Mango Star(kati), akionyesha Umaili wake katika kucheza na Nyoka wakati wa zoezi la Kupiga Picha za Mabango yanayobeba Ujumbe wa Albamu yao iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Marekani leo jijini Dar.
Wasanii wa Mwana-Milambo Bendi, wakionyesha Mabango yanayobeba Ujumbe wa Albamu yao Mpya iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Marekani, wakati wa upigaji picha katika Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam leo.
Msanii wa Kundi la Mwanamilambo Bendi, Mango Star, akiwa na Mtoto wakati wa kupiga picha za Mabango yanayobeba Ujumbe wa Albamu yao iliyodhamini wa na Ubalozi wa Marekani leo.
Wasanii wa Mwana-Milambo Bendi, wakionyesha staili ya Sarakazi, wakati wa kupiga picha za Mabango yanayobeba Ujumbe wa Albamu yao Mpya iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Marekani, wakati wa upigaji picha katika Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam jana.
Picha na Shaaban Mpalule.

No comments: