Tuesday, February 7, 2012

WAMACHINGA MWANZA WAKUTANA NA RAIS KIKWETE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao jana January 6, 2012 walikwenda Ikulu
ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji. 
PICHA NA IKULU

No comments: