Monday, February 13, 2012

WAZIRI DK,MWINYIHAJI AELEZEA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KIPINDI CHA MIEZI SITA

Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk,Mwinyihaji Makame akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na
malengo, mafanikio ya Wizara yake kwa kipindi cha miezi sita kuanzia
Julay hadi Disemba.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk,Mwinyihaji Makame akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana
namalengo na mafanikio ya Wizara yake kwa kipindi cha miezi sita kuanzia
Julai hadi Disemba Kulia kwake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Salum Maulid.na kushoto kwake ni Naibu katibu Mkuu idara Maalum Capt,Abdalla Juma.

No comments: