Saturday, April 7, 2012

Mazishi ya William 'Billy' Msuya yafanyika leo jijini Dar es salaam Mzee Hillary Msuya na mkewe Jaji Pendo Msuya familia yao katika mazishi ya mtoto wao William 'Billy' Msuya leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam. Marehemu alifariki mwanzoni mwa juma huko Malaysia.
 Waombolezaji wakiwasili makaburini na mwili wa marehemu

No comments: