Sunday, April 22, 2012

PICHA ZA WABUNGE WALIVYOWEKA SAHIHI YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU (#VOTEOFNOCONFIDENCE)











Mbunge
wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akiweka sahihi katika fomu ya majina
ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika
Viwanja vya Bunge mjini Dodoma juzi. Kulia ni Mbunge wa Kigoma
Kaskazini, Zitto Kabwe anayefanya zoezi la kukusanya sahihi za wabunge
ili aweze kuwasilisha bungeni hoja kutokuwa na imani na Waziri Mkuu,
kesho Jumatatu.








Mbunge wa wa Kasulu Mjini, Moses
Machali akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na
imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ndani ya ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma juzi. Kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, Zitto Kabwe anayetaka
kuwasilisha bungeni hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.












Kiongozi wa Kambi ya Upinzani
Bungeni, Freeman Mbowe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge
wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ndani ya ukumbi wa
Bunge mjini Dodoma juzi.












Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema
akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma juzi.












Mbunge wa Bukombe, Prof Kulikoyela
Kahigi akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na
imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Katikati ni Mbunge wa Kigoma
Kaskazini, Zitto Kabwe na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.








CHANZO: ZITTOKABWE.WORDPRESS.COM

No comments: