TAREHE | SIKU/SAA | TUKIO | MAHALI |
8/04/2012 na 9/04/2012 | Jumapili Na Jumatatu | Wabunge kuelekea Dodoma | Kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali |
10/04/2012 | Jumanne | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. | |
Saa 7-11 Jioni | · Kikao cha Briefing cha Wabunge wote. · Vikao vya Kamati za vyama vya siasa. vitafanyika mara baada ya Kikao cha Briefing. | ||
11/04/2012 | Jumatano | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Biashara wa Mwaka 2011. [The Business Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2011]. | |
12/04/2012 | Alhamisi Saa 7.00-9.00 | · Kiapo cha Utii kwa Wabunge wapya. · Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu. · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada wa Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania wa Mwaka 2011 [The Tanzania Livestock Research Institute Act, 2011]. · Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi. | |
13/04/2012 | Ijumaa | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2012 [The Social Security Laws (Amendments) Act, 2012 (No.2) Act, 2011. | |
14/04/2012 | Jumamosi | · Semina kuhusu Anuani za Makazi na Simbo za Posta pamoja na mabadiliko ya Teknolojia ya utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali. | |
15/04/2012 | Jumapili | MAPUMZIKO | |
16/04/2012 | Jumatatu | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada wa Sheria ya Marekebisho wa Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2011 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2011] . | |
17/04/2012 | Jumanne | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Uchaguzi wa Wabunge wa EALA. · Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma. | |
18/04/2012 | Jumatano | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma. | |
19/04/2012 | Alhamisi | · Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu. · Kipindi cha Maswali ya Kawaida. · Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/zisizo za Kisekta. | |
20/04/2012 | Ijumaa | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/ zisizo za Kisekta. | |
21/04/2012 | Jumamosi | · Kamati ya MIPANGO. | |
22/04/2012 | Jumapili | · MAPUMZIKO | |
23/04/2012 | Jumatatu | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Kamati ya MIPANGO. | |
24/04/2012 | Jumanne | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Taarifa ya Serikali ya utekelezaji wa Maazimio ya Kamati Teule ya Bunge. · Hoja Binafsi za Wabunge. · HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE. |
Wednesday, April 11, 2012
RATIBA YA MKUTANO WA SABA WA BUNGE TAREHE 10/04/2012-21/04/2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment