Wednesday, July 13, 2011

Balozi Amina Salum Ali Alipomtembelea na Rais Jakaya Kikwete

Balozi Wa Umoja wa Afrika (African Union) nchini Marekani Balozi Amina Salum Ali akiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dra es Salaam Muda mfupi baada ya kumaliza Mazungumzo hivi karibuni
Rais Jakaya Kikwete(Kulia)akimkaribisha Balozi Umoja wa Afrika(African Union)nchini Marekani Balozi Amina Salum Ali Ikulu Jijini Dar es Salaam
Balozi Wa Umoja wa Afrika(African Union)nchini Marekan, Balozi Amina Salum Ali Akijadiliana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea hivi karibuni pamoja na mambo mengine Balozi Amina Salum Ali alimpa Muktasari Rais Jakaya Kikwete mpango kabambe wa kuwavutia wawekezaji nchini Tanzania na bara zima la Afrika katika mchakato wa maendeleo.Picha na Mpiga Picha Maalum wa www.Hakingowi.com
Habari kwa hisani ya Haki Ngowi