Tuesday, July 12, 2011

BODI YA UDHAMINI YA PSPF YA RIDHISHWA NA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA

Meneja wa kiwanda cha sukari cha kagera bwana Ashwin rana akiwapa wajumbe wa bodi ya pspf jinsi shugli za uzalishaji sukari katika kiwanda cha kagera kushoto ni mwenyekiti wa uwekezaji bwana Athur mwakapugi na kulia ni naibu gavana wa bank kuu bwana Lila mkila walipo tembelea kiwanda hicho cha kagera.
Bwana Laiza ambaye ni nimtalamu wa umwagilia akitoa maelezo kwa wajumbe wa bodi ya pspf jinsi mtambo wa kisasa wa umwagilia maji na mbolea katika mashamba ya miwa kagera.
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha sukari kagera,Bw. Nasoro Seif akimuonyesha mjumbe wa bodi ya pspf bibi Edine Mangesho chombo cha setilait kinacho ongoza treka linalo andaa shamba kwa ajili ya kupanda miwa.ujumbe huo ulitembelea kujionea maendeleo ya kiwanda hicho hivi karibuni.
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi