KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA MUDA HUU SASA HIVI WABUNGE WATATU WAMETOLEWA NJE NA MUHESHIMIWA NDUNGAI WABUNGE HAO WALIO TOLEWA NJE NI MUHESHIMIWA LEMA, MUHESHIMIWA LISU NA MUHESHIMIWA MSIGWA ... WAMETOLEWA NJE NA MUHESHIMIWA NAIBU SPIKA NDUNGAI BAADA YA KUTAKA MWONGOZO WA MUHESHIMIWA SPIKA.. WAKATI MUHESHIMIWA LUKUVI ALIPO ONGEA KWA MUDA MREFU NA KUANZA KUPIGA KELELE... HABARI ZAIDI BAADAE
No comments:
Post a Comment