Tuesday, July 19, 2011

Hivi kwa Mtindo huu hapa tutafika kweli?

Dada Mainesi akiokota mabaki ya mkaa na kwenda kuuza ilikupata riziki yake ya siku
Watoto hawa nao wapo kwenye lundo la takataka wakiokota mabaki ya mkaa na kupitisha
mitaani kuuza ilikupata riziki yao

No comments: